Utafiti wa Mapato na Matumizi
ya Kaya Binafsi Tanzania Bara
2007
Baadhi ya matokeo ya Utafiti
Ofisi ya Taifa ya Takwimu
1
Yaliyomo






Utangulizi na Madhumuni ya Utafiti
Viashiria vya sekta ya Jamii
Nyumba, huduma za nyumbani na rasilimali za kaya
Shughuli za uzalishaji na za kibenki
Umaskini
Hitimisho
2
Sampuli




Sampuli ya Utafiti ilitokana na maeneo ya kuhesabia watu
yalioyotumika katika Sensa ya Watu na Makazi 2002
Kaya ziligawanywa katika matabaka ya kipato katika kila
eneo ili kupata uwakilishi wa matabaka yote katika sampuli
Kaya zilizoingia katika uchambuzi ni 10,466 kati ya 10,752
zilizokusudiwa (97%)
Asilimia 12% ya kaya hizi ni kaya za akiba
3
Viashiria vya sekta ya jamii:
- watu, afya, elimu
4
Watu



Wastani wa idadi ya watu katika kaya
umeonesha kupungua 4.9 hadi 4.8
Idadi ya Kaya zinazoongozwa na wanawake
imeongezeka
Kuna ongezeko la idadi ya watu wa umri wa
miaka 65 na zaidi pia ambao wanaongoza
kaya
5
Kaya zinazoongozwa na wanawake
35
30
30
28
25
25
25
24
22
21
20
15
23
23
18
17
14
10
5
0
DSM
Miji mingine
1991/92
2000/01
Vijijini
Jumla
2006/07
6
Afya





Ikilinganishwa na Utafiti wa mwaka 2000/01:
Hakuna mabadiliko katika idadi ya wanakaya walioripoti kuugua
au kujeruhiwa katika majuma 4 kabla ya utafiti; na hali hii ni kwa
wote mjini na vijijini
Hakuna mabadiliko katika idadi ya waliotafuta huduma ya afya,
ingawa
Kuna ongezeko katika waliotafuta huduma kutoka katika vituo
vinavyomilikiwa na Serikali (55% hadi 65%)
Idadi ya walioripoti kuridhishwa na huduma katika vituo vya
serikali imeongezeka ingawa ukosefu wa dawa uliripotiwa na
wachache
7
Huduma katika vituo vya serikali
70
60
23
8
50
28
10
11
7
29
40
47
30
50
20
44
43
43
45
37
28
10
17
0
2000/01
2007
Dar es Salaam
2000/01
2007
2000/01
Miji mingine
Zahanati au Hospitali
2007
Vijijini
2000/01
2007
Jumla
Vituo vya afya
8
Elimu




Ikilinganishwa na Utafiti wa mwaka 2000/01:
Kuna ongezeko katika idadi ya watu wazima wanaojua
kusoma na kuandika
Kuna ongezeko kubwa la idadi ya watoto wa umri wa
kwenda shule ambao wanakwenda shule za msingi na
sekondari
Ongezeko katika idadi ya watoto walio katika darasa
sahihi kulinganisha na umri
9
Mahudhurio shuleni
100
91
91
90
80
84
82
71
71
70
59
56
60
50
40
30
28
30
20
19
15
15
10
10
5
2
0
2000/01
2007
Dar es Salaam
2000/01
2007
Miji mingine
Msingi
2000/01
2007
Vijijini
2000/01
2007
Jumla
Sekondari
10
Nyumba, huduma na
rasilimali za kaya
11
Nyumba na huduma za kaya



Ongezeko katika matumizi ya vifaa vya kisasa
vya ujenzi
Hakuna mabadiliko katika idadi ya kaya zisizo
na vyoo 7%
Upatikanaji wa maji safi na salama (hasa ya
bomba) umeshuka
12
Vifaa vya ujenzi wa nyumba (%)
60
55
50
40
43
35
35
26
30
21
25
20
10
33
16
0
1991/92
2000/01
Paa la bati
Sakafu ya kisasa
2007
Kuta za kudumu
13
Upatikanaji wa maji (%)
100
93
86
90
80
76
73
70
60
61
58
50
25
30
20
10
39
36
40
4
25
11
8
12
34
28
18
16
23
18
10
18
16
10
Dar es Salaam
Miji mingine
Maji yoyote ya bomba
Vijijini
2007
2000/01
1991/92
2007
2000/01
1991/92
2007
2000/01
1991/92
2007
2000/01
1991/92
0
Jumla
Vyanzo salama vingine
14
Umilikaji wa baadhi ya rasilimali katika
kaya
Miji
mingine
Dar
2000/01
Redio /
redio kaseti
79.6
2007
80.0
2000/01
71.5
Vijijini
2007
73.3
2.9
Jumla
2000/01
45.7
2007
62.2
51.9
2007
66.2
Simu
yoyote
9.8
Ya mezani
NA
2.8
NA
1.9
NA
0.6
NA
1.1
Ya kiganjani
NA
62.8
NA
42.5
NA
13.9
NA
24.5
Luninga
20.1
37.7
7.0
15.8
0.2
1.8
2.6
8.2
Vitanda
95.2
95.8
93.9
93.4
83.7
89.5
86.0
90.0
Kompyuta
1.4
3.2
1.5
0.5
1.4
0.1
1.4
0.5
Vyandarua
79.6
92.0
66.3
84.1
27.9
61.3
37.1
68.9
Gari
5.9
4.4
2.2
2.2
0.7
0.3
1.3
1.1
Pikipiki
1.4
1.1
1.8
2.9
0.7
1.2
0.9
1.5
Baiskeli
11.6
15.5
34.3
35.9
38.4
45.4
36.0
15
40.5
63.7
0.2
2000/01
43.3
1.2
14.3
25.0
Nishati ya kupikia
100
90
80
70
60
50
40
30
20
10
0
2000/01
2007
Dar es Salaam
Umeme
2000/01
2007
Miji mingine
Gesi - ya viwandani
2000/01
2007
2000/01
Vijijini
Mafuta ya taa
2007
Jumla
Mkaa
Kuni
16
Umeme
Kaya zilizounganishwa na umeme (% )
70.0
60.0
50.0
40.0
30.0
20.0
10.0
0.0
2000/
Mainland
Tanzania
Dar es Salaam
Other urban
Solar
electricity
Electricity
grid
Solar
electricity
Electricity
grid
Solar
electricity
Electricity
grid
Solar
electricity
Electricity
grid
2007
Rural
17
Shughuli za uzalishaji na za
kibenki katika kaya
18
Uzalishaji katika kaya

Shughuli kuu za wanakaya:
- kilimo kinaonesha kushuka
- kuongezeka waajiriwa na waliojiajiri
19
Shughuli za kibenki katika kaya

Kumekuwa na ongezeko tangu mwaka 2000/01, la kaya
ambazo zina wanakaya ambapo angalau:
- mmoja na amiliki akaunti katika benki (ingawa idadi
ilikuwa kubwa mwaka 91-02)
- mmoja aliyechukua mkopo benki ,
- mmoja nayeshiriki katika vikundi vya kuweka na/au
kukopa visivyo rasmi

Kwa ujumla idadi ya kaya za namna hii bado ni chache na
zimejikita zaidi maeneo ya mjini
20
Shughuli za kibenki
(asilimia ya kaya ambazo angalau…)
20
18.0
18
16
14
12
10
10.0
7.8
8
6
4
2
6.4
5.1
1.2
0.6
3.8
2.7
0
1991/92
Akaunti benki
Vikundi visivyo rasmi
2000/01
2007
Mkopo wa benki mwaka uliopita
21
Umaskini
22
Kiwango cha umaskini
Food
Basic
Mwaka Dar
Miji
Vijijini Jumla
mingine
1991
13.6
15.0
23.1
21.6
2001
7.5
13.2
20.4
18.7
2007
6.7
12.9
18.4
16.5
1991
28.1
28.7
40.8
38.6
2001
17.6
25.8
38.7
35.7
2007
16.2
24.1
37.4
33.3
23
Tofauti baina ya walionacho na wasionacho
Miji
Mwaka
Dar
mingine
Vijijini
Jumla
1991
0.30
0.35
0.33
0.34
2000/01
0.36
0.36
0.33
0.35
2007
0.34
0.35
0.33
0.35
24
Hitimisho - I



Kuna maendeleo makubwa katika upande wa elimu,
upande wa afya hakujawa na mabaidiliko makubwa
katika matumizi ya huduma za tiba isipokuwa tu
ongezeko katika utafutaji huduma katika vituo vya
serikali
Kuendelea kudorora kwa huduma ya maji hasa maji ya
bomba
Kuongezeka kwa ujenzi wa nyumba za kisasa na
ongezeko la rasilimali katika kaya
25
Hitimisho - II


Kuendelea kupungua kwa wananchi wanaoshiriki katika
kilimo na kuingia katika sekta nyingine
Tofauti ya kipato baina ya walionacho na wasionacho
haijabadilika ambapo tofauti ni ndogo kwa watanzania
waishio vijijini ikilinganishwa na wale wanaoishi mjini.
26
Mwisho
Ahsanteni sana kwa kunisikiliza!
27
Descargar

Slide 1